fahamu Wamiliki na Wagunduzi Wa Mitandao Ya Kijamii Na Utajiri Wao
Facebook
Mmiliki halali wa mtandao huu wa kijamii anajulikana kwa jina la, Mark Zuckerberg mwenye umri wa miaka 32, ambae aligundua mtandao huu mnamo mwaka 2004 wakati akiwa mwanafunzi katika chuo cha Harvard.
Na kwa sasa Utajiri wake unakadiriwa kufikia dola za kimarekani billioni 45.
Instagram
Waliogundua Instagram kwa majina wanaitwa Kevin Systrom na Mike Krieger lakini jambo la kusikitisha zaidi ni hili hapa;
Waligundua Instagram mnamo mwaka 2010 na baada ya miaka miwili tu mbele yaani mwaka 2012 wakaiuza kwa mmiliki wa Facebook kwa kiasi cha dola za kimarekani bilioni moja tu.
Mpaka sasa Instagram ina_miaka 7 tu tangu igunduliwe lakini imekwishapata watumiaji zaidi ya Millioni MiaSita duniani kote.
WhatsApp
Mtandao huu wa kijamii Uligunduliwa na Jan Koum mwenye umri wa miaka 41 na Brian Acton mwenye umri wa umri miaka 45, mnamo mwaka 2009.
Kitu kizuri juu ya wagunduzi hawa ni kwamba baada ya Mmiliki wa facebook kuwaomba wamuuzie Walikataa. Haikuwa rahisi na mapema kama vile ilivyotokea kwa Yule wa Instagram.
Baada ya muda wa miaka mitano yaani tangu kugunduliwa mwaka 2009 hadi mwaka 2014 ndipo walikubali kuuza kutokana na kiasi cha pesa walichowekewa mezani, hivyo basi mmiliki wa Facebook alinunua WhatsApp kwa kiasi cha dola za kimarekani billioni 19.
Hivyo basi Mmiliki wa Facebook ndiye mmiliki wa Instagram na WhatsApp
Na Hawa Wagunduzi Wa Snapchat App sasa wamekuwa miongoni mwa mabilionea wa Dunia,
Wagunduzi hao kwa majina Evan Spiegel ana umri miaka 26 na Bobby Murphy mwenye umri wa miaka 28, kwa sasa utajiri wao unakadiriwa kufikia dola za kimarekani billioni 24.
Kwa hawa tunaendelea kusikilizia kama nawao watauza mtandao wao...
bado endelea kufuatilia updates zote hapa hapa
imeandaliwa na IBRAHIM MCHUCHURI.

zuckerberg

snapchatfounders
Kwa hawa tunaendelea kusikilizia kama nawao watauza mtandao wao...
bado endelea kufuatilia updates zote hapa hapa
imeandaliwa na IBRAHIM MCHUCHURI.
fahamu Wamiliki na Wagunduzi Wa Mitandao Ya Kijamii Na Utajiri Wao
Reviewed by Unknown
on
September 01, 2017
Rating:
No comments