JINSI YA KU " REPOST " KWENYE INSTAGRAM
kwa mara myingine tena tunapata fursa ya kukutana na kujadir mabadiriko mbalimbali ya teknolojia yanayoendelea kutokea duniani.
katika mjadara wetu wa leo mada tutakayoizungumzia ni kuhusu mtandao mmoja wapo ambao kadri siku zinavyozidi kusonga mbele na wenyewe unazidi kukua na kuenea duniani kote.
leo tutaangalia litu kodogo sana japo kwa wengine bado hawajakigundua, kitu cheneyewe ni kuhusu kurudia kuipost picha au video ya mtu mwingine kwenye account yako ya instagram ambapo kwa kitaalamu tunaita repost, tuangalie ni namna gani unaweza kuirudia kupost kitu kilichopostiwa na mtu mwingine ukairudia kwenye account yako ( picha na video). kufahamu yote haya fuata hatua zifuatazo
1. washa data kwenye simu yako kisha ingia play store au google store (kama hauajapakua application ya kurepost, ( hapa kuna application mbalimbali zinazotumiwa ku repost kwenye instagram hivyo chagua hii ambayo nitakupatia hapa inaitwa Repost for Instagram ambayo kwenye picha au mwenekano wake ni huu
2. baada ya kuipakua itaonekana hivi kwenye simu yako (kama mshale unavyokuelekeza hapo kwenye picha)
3. baada ya hapo ingia kwenye instagram yako kupitia iyo application au kupitia kwenye instagram yenyewe. kama kupitia kwenye hii application, basi utabofya juu upande wa kulia kwenye logo au nembo ya instagram itakupeleka moja kwa moja kwenye account yako (itaonekana hivi
4. ukishaingia hapo na kukupeleka moja kwa moja kwenye instagram yako utatafuta post ambayo unataka kuirepost (kwa njia ya kumsearch mtu mwenyewe au kwa kuperuzi kila post) mfano mimi hapa nimetumia njia ya kusearch @technological_skills na kutafuta post niitakayo na baada ya kuipata nimekopi post URL kama hivi nimeingia kwenye iyo picha na kubofya kwenye vidoti vitatu
kama palivyozungushiwa hapo. baada ya hapo nikakopi kama hivi
kwenye huo mshale, hiyo post itakuja kwenye ile application ya repost hivyo utaingia kwenye ile application na kutoka kwenye account yako.
6. ukishaingia kwenye repost application utaiona link uliyoikopi utaibofya hiyo link
baada ya kuibofya zitatokea options chini utabofya neno REPOST.
7. utatengeneza au kuseti iyo picha kama post za kawaida unavyopost (crop) hakikisha upande wa kushoto ionekane account ya mtu uliko repost kama unataka ijulikane (sio lazima lakini). kwa ku crop emage au video.
baada hapo utaandika maneno uyatakayo kama kawaida (mfano mimi nimeandika hivi kwenye picha nlio repost ( #repost @technological_skills) kama kwenye picha inavyoonekana
kisha nkamaliza kwa kuipost kama hivi tunavyomaliza kwa kubofya neno share
hapo utakuwa tayari umerepost

imeandaliwa na IBRAHIM MCHUCHURI.
asanteni kwa kuwa pamoja
JINSI YA KU " REPOST " KWENYE INSTAGRAM
Reviewed by Unknown
on
August 21, 2017
Rating:
No comments