FACTORY DATA RESET OF SUMSUNG GALAXY PHONES
Factory Data Reset (Powered Off) - all Samsung Galaxy phones (kufuta simu au kuflash bila kutumia program au software yeyote kwenye simu za samsung Galaxy).
if you get any problem in your sumsung Galaxy like forgetten pasword , pattern or pin and you need to solve it without flashing, you have to factory it or reset (kama umekutana na tatizo kwenye simu yako kama vile kusahau pasword yako au namba yako ya usalama na unaitaji kutatua tatizo bila kuiflashi unatakiwa ufute kila kitu kwa kutumia mfumo endeshi wake).
Warning Perform a factory data reset only if absolutely necessary as it removes all data including. (kitendo hiki kitafuta data zako zote kwenye simu kama vile:-
advece. keep your google account secure, ushauri. weka akaunti yako ya google usalama
prepared by ibrahim mchuchuri

- Google account (akaunti yako ya google)
- System and app data and downloaded apps (mfumo wa simu ulivyoupangilia na application zote ulizozdownload)
- App settings (setingi za application zote)
- Media (Music, pictures and videos, etc.) miziki, picha na video zote.
factory reset through the following TIPS (fanya kutia njia zifuatazo.
- Ensure the device is powered off. (zima simu kwanza)
- Simultaneously press and hold the Power button (located on the upper-right edge) + Volume Up button (located on the left edge near the top) + Home button (located at the bottom in the middle) until recovery booting appears in the upper-left part of the screen. (kwa pamoja bofya na shikilia sehemu ya kuzimia na kuwashia+ kitufe cha kuongezea sauti+ kitufe cha kupunguzia sauti+ kitufe cha nyumbani
- From the Android system recovery screen, select wipe data/factory reset. (chagua wipe data/factory reset)
- Note Utilize the volume up/down keys to highlight and the power button to select. tumia vitufe vya kuongezea sauti na kupunguzia sauti kwenda kwenye menyu zitakazojitokeza)
- Select Yes -- delete all user data. bofya sehemu ya kufuta data zote
- Note Allow several seconds for the factory data reset to complete. ( itachukua dakika nyingi kumaliza kufuta)
- or Select reboot system now. au chagua reboot kuibuti simu.
- Note Allow several minutes for the reboot process to complete. nayo itachukua muda mrefu kidogo)
- Note To set up the device after the reset has completed, refer to Initial Activation and Setup.
- alafu fanya setingi upya au mipangilio upya
advece. keep your google account secure, ushauri. weka akaunti yako ya google usalama
prepared by ibrahim mchuchuri
FACTORY DATA RESET OF SUMSUNG GALAXY PHONES
Reviewed by Unknown
on
January 20, 2018
Rating:
No comments