messenger kwenye kompyuta sasa

hii ni kwa watumiaji wa simu za kupalaza (smartphone) waweza kujibu na kutuma ujumbe uliotumwa kwenye simu yako kwenye kompyuta.

namna ya kuwezesha......

  • ingia kwenye simu yako na udownload/ pakua application ya messenger.
  • kwenye computer yako, ingia kwenye browser kisha andika Messages for web au bofya hapa
  • scan code kwa kuzikutanisha camera ya simu yako na messenger for web kwenye pc yako
  • baada ya kuscan itakua tayari kujibu na kutuma ujumbe kwenye simu yako ya kuteleza yenye mfumo endeshi wa android.


kwa maeleze zaidi wasiliana nasi kupitia instagram @technological_skills na @officialchully
messenger kwenye kompyuta sasa messenger kwenye kompyuta sasa Reviewed by technological skills on July 29, 2018 Rating: 5

No comments

Random Posts

3/random/post-list