mjue trojen virus na namna ya kumuondoa kwenye computer yako.
ivi karibu kuna virus amevamia kompyuta za watu wengi na usb flash. mdudu huyu anatabia ya kuvamia kompyuta kwa njia kuu mbili nazo ni:-
- njia ya vihifadhi data kama vile flashi, memory na external hard disk pindi wanapochangia zaidi ya kompyuta moja.
- njia nyingine ni njia ya online (mtandaoni) kupitia kwenye browser na kubofya matangazo ambayo sio salama na kupakua software zisizo salama.
dalili ambazo zinadhihirisha au kuashilia kompyuta yako imevamiwa na trojen virus ni hizi hapa
- kompyuta inakua nzito kwenye ufanisi wake wa kazi
- kompyuta haipokei kwa haraka taarifa
- programs zinagoma kufunguka au zinachukua muda mrefu kufunguka
- programs zinaliwa au zinakufa nguvu na hazifanyi kazi kabisa (corrupted)
njia kuu ya kumuondoa huyu vaisi mpaka sasa ni kubadiri mfumo wa kompyuta (windows, linux) baada ya hapo fanya uwekaji wa drivers katika computer yako na mwisho weka antivirus yenye nguvu na pro kama vile AVG protection
NB. bado tunaendelea kufanya utafiti juu ya kumzuia huyu vairasi kwa njia rasmi.
makala imeandaliwa na ibrahim mchuchuri.
mjue trojen virus na namna ya kumuondoa kwenye computer yako.
Reviewed by technological skills
on
July 14, 2018
Rating:
No comments