NAMNA YA KUWAFUTA SHORTCUT VIRUS KATIKA COMPUTER YAKO NA USB FLASH BILA KUTUMIA SOFTWARE.
njia fupi ya kufuta virus aina ya shortcut ni kutumia cmd.... kwa ufafanuzi kidogo kuhusu shortcut virus ni kwamba hawa ni virus ambao hufanya mafaili au documents zako zionekane kwenye mfumo wa kukopiwa yani shortcut kama hivi
namna ya kuwafuta wadudu hawa, fuata hatua zifuatazo
- iweke flash yako kwenye computer. baada ya hapo angalia imepewa herufi gani katika partions za computer mfano herufi D, H, I ,J nk.
- ingia RUN menu kwa kubofya window button na herufi R kwa pamoja itatokea sehemu ya kuandika kitu hapo utaandika neno cmd.
- baada ya hapo open kisha andika hivi.. kama flash imepewa herufi G kwenye partition utaanza na neno attrib kisha kuandikia iyo herufi na kufuatia nukta pacha mfano wake ni hivi attrib g:*.* /d /s -h -r -s alafu utabofya button enter kisha subiri kidogo alafu ingia kwene flash yako utaona virus wametoka na mafaili yako yanakua salama.
imeandaliwa na ibrahim mchuchuri
NAMNA YA KUWAFUTA SHORTCUT VIRUS KATIKA COMPUTER YAKO NA USB FLASH BILA KUTUMIA SOFTWARE.
Reviewed by Unknown
on
December 28, 2017
Rating:
No comments