FAHAMU NJIA ZA KUJIFUNZA TEKNOLOJIA (TECHNOLOGY) BILA KUINGIA DARASANI

leo natoa somo juu ya njia kadhaa za ujifundishaji au kujifunza mambo ya teknolojia bila kuingia darasani au kuwa na sifa za usomaji wa teknolojia kama vile masomo ya kompyuta, simu, designing na mengineyo.

tunafahamu kua kwa elimu yetu au mfumo wetu wa elimu sio rafiki sana kama ukiwa na uwezo wa kufanya jambo furahi kwa vitendo (practically) lakini hauna elimu ya ufaulu wa kuweza kukidhi kujifunza unachokifahamu  sababu wanaangalia ufaulu wa darasani na kwenye vyeti tu. hivyo kama unataka kujifunza technolojia anza sasa kwa kupitia mbinu hizi zilizoelezewa katika video hapa chini


pia katika video ya pili hapa chini inaelezea faida na hasara za kujifunza technolojia bila kuingia darasani na kuingia darasani
angalia hapa

kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba za simu 0654798952, 0769305046.
by ibrahim mchuchuri.

FAHAMU NJIA ZA KUJIFUNZA TEKNOLOJIA (TECHNOLOGY) BILA KUINGIA DARASANI FAHAMU NJIA ZA KUJIFUNZA TEKNOLOJIA (TECHNOLOGY) BILA KUINGIA DARASANI Reviewed by Unknown on September 18, 2017 Rating: 5

No comments

Random Posts

3/random/post-list