madhara ya matumizi ya simu katika UBONGO WA BINADAMU.
wengi wetu hatutambui kwamba matumizi ya simu yanachangia sana kuudhofisha ubongo na kuupa matatizo ,mbalimbali. sasa leo naomba nikudokeze madhara ya kutumia simu hasa simu zetu za kisasa yani android, iPod na iOS au zinginezo pia.
makara hii imeandaliwa na IBRAHIM MCHUCHURI.
kutumia simu kuna madhara yafuatayo hasa kutumia mara kwa mara..
ubongo kutokuwa na uharaka (active).
unapotumia sana simu ubongo wako pia hutunza kumbukumbu za simu hasa na kutokua makini au kutotunza habari ama taarifa zingine. hasa kwa wale wanaoshida na simu kila maraubongo kuleweya. ( addiction)
ubongo huwa addicted baada ya kujenga hali ya mazoea hivyo huathilika kwa kuzoea kifaa cha simu na kusahau majukumu mengine.mionzi ya simu huathiri mishipa inayoenda kwenye ubongo.
watu wengi wakiwa wanatumia simu mara kwa mara hupatwa na tatizo la kuumwa na kichwa au macho kuuma, hii inatokana na mihale ya simu kuingia kwenye mishipa ya ubongo na ubongo kupata maomivu makali.hudumaza uwezo wa kufikili,
unapotumia simu kwa lengo la kulahisisha mambo mengi husababisha ubongo kutokua na uwezo mzuri wa kufikili.huleta msongo wa mawazo.
hii hutokana na kukuweka mbali na wenzako hivyo inapelekea kupata taarifa za mtu wa mbali na kuvuta hisia kama uko nae karibu na wale wa karibu kuwasahau. hivyo ubongo unakumbwa na mawazo mengi sanamakara hii imeandaliwa na IBRAHIM MCHUCHURI.
madhara ya matumizi ya simu katika UBONGO WA BINADAMU.
Reviewed by Unknown
on
August 30, 2017
Rating:
No comments