orodha ya simu zitakazofungiwa Whatsapp kuanzia mwaka 2017
Kwa mujibu wa Whatsapp, wameamua kusitisha kutoa huduma kwa baadhi ya simu zinazotumia mifumo endeshi ya kizamani ili kuendana na kasi ya ukuwaji wa soko la simu duniani.
Kwa mujibu wa Whatsapp, simu zitakazositishiwa huduma ni pamoja mwishoni mwa mwaka huu ni pamoja na simu zinazotumia mifumo endeshi ya:
Pia whatsapp wamewatahadharisha watumiaji wa simu za,
Kama wewe ni mmoja wa wahanga wa maamuzi haya ya whatsapp usisite kuacha ujumbe wako kwenye sehemu ya maoni.
Kwa mujibu wa Whatsapp, simu zitakazositishiwa huduma ni pamoja mwishoni mwa mwaka huu ni pamoja na simu zinazotumia mifumo endeshi ya:
- Android : Android 2.1 na Android 2.2
- Windows : Windows Phone 7
- iPhone: 3GS/ iOS 6
Pia whatsapp wamewatahadharisha watumiaji wa simu za,
- Blackberry 10 running on BBOS
- Nokia S40 running on S40
TAHADHARI NYINGINE
watumiaji wa simu za android 4.0, 4.1.1 na 4.4.1 kwa simu zisizo na uwezo mkubwa kwa maana ya ufanisi mkubwa, mfano simu za TECNO, itel, infinite (simu zote zisizo na ufanisi mkubwa wa kazi)na simu ambazo ni kopi ya simu original pia simu zote zile ambazo zinapokea errors mbalimbali kama kugoma kufungua applications mfano simu yako inaweza andika unfortunatly, your phone stoped. cant reach now na not responding kati ya maneno hayo yakiwa yanatokea kwenye simu yako maana yake simu yako haina ufanisi mzuri kwa iyo application husika uliyoifungua hasa whatssap, facebook, snapchat na instagram ina nguvu zaidi ya simu yako... ushauri (badiri simu nunua simu yenye uwezo na imara)Kama wewe ni mmoja wa wahanga wa maamuzi haya ya whatsapp usisite kuacha ujumbe wako kwenye sehemu ya maoni.
orodha ya simu zitakazofungiwa Whatsapp kuanzia mwaka 2017
Reviewed by Unknown
on
July 07, 2017
Rating:
No comments