Simple way to know read messages in WhatsApp groups

Tathmini kubwa inaonyesha watu huwajui kutambua message iliyo somwa na ambayo haijasomwa ulio ituma wewe kama wewe wewe ndani ya group hii itakusaidia wewe kujua kujua ni nan husoma message zako unazotuma ndani ya group katika mtandao wa kijamii maarufu kwa jina la WhatsApp ambacho kirefu chake ni (world Hollywood advertisement through secret application) sasa basi utawezaje kujua mtu kama kaisoma message yako ndani ya group la WhatsApp
Ingia kwenye group lolote la WhatsApp ambapo umejiunga kisha andika message yoyote kisha itume baada ya hapo mark ile message jinsi ya kumark hold ile message baada ya sekunde 2 ile message itatiwa kivuli cha rangi ya blue baada ya kumark ile message bofya alama iliyo zungushiwa mduara mwekundu katika picha hapo juu ukifanya hivyo utaweza kuona message info nani message imemfikia na kuisoma na nani message imemfikia na hajaisoma ni virahisi sana kwa tatizo lolote Acha maoni yako hapa 
Simple way to know read messages in WhatsApp groups Simple way to know read messages in WhatsApp groups Reviewed by Unknown on June 14, 2017 Rating: 5

1 comment

Random Posts

3/random/post-list