How to change background color using Adobe photoshop cs6

Jinsi ya kubadilisha rangi ya nyuma ndani ya picha kwa kutumia adobe photoshop cs6
Hili ni jambo muhimu kwako wewe photographer hii ni kwa ajili ya kufanya picha kwenye ubora flani. Pia unatakiwa kujua mpangilio wa rangi kama ni mtu kapiga picha na nguo nyeusi basi background color iwe white kama mtu kavaa white basi background iwe black kama mtu piah kavaa nyeusi bas background iwe njano pia itapendeza sasa unafanyaje ili ubadili background kwenye picha yako vitu muhimu ambavyo unatakiwa uwe navyo

  1. Uwe na adobe photoshop cs6 
  2. Uwe na computer yenye uwezo mkubwa Yaani Ram kuanzia 2 GB hard disk space 4GB free space 
  3. Operating system zako ziwe Windows 7,8 na window 10
  4. Program hii unaweza kuipata ndani ya website yetu ya HOMTECHNOLOG.COM
  5. Watch 

How to change background color using Adobe photoshop cs6 How to change background color using Adobe photoshop cs6 Reviewed by Unknown on June 14, 2017 Rating: 5

No comments

Random Posts

3/random/post-list