Andaa tutorials wewe mwenyewe. (computer video capture)

leo napenda tujadiri namna ya kutengeneza tutorials mbalimbali ambazo zitahusisha jinsi ya kurekodi video kwenye computer yako. hii itakusaidia kuandaa masomo mbalimbali kwa njia ya video.
masaomo hayo yaweza kuhusu
  • ujasiliamali.
  • mambo ya teknolojia.
  • masomo mashuleni na rectures kwa vitendo. nk

pia kupitia utengenezaji wa tutorial unaweza kuzi upload kwenye youtube na kujipatia kipato kupitia viewers wako.
Nitakupa link ya kupakua software ambayo itakuwezesha kuandaa tutorials mabilimbali


baada ya kuipakuwa iyo software fuata hatua zifuatazo.
  • install iyo software (hapa tumeshajifunza namna ya kufanya installation haturudi nyuma kama tulikuacha utatoa comment yako chini ili usaidiwe.
  • pindi unapofanya installation zitatokea option nying au program nying uzipige tick, hapa usizipige tick tafadhari maana ukizipiga tick utaitumia siku mbili au tatu basi baadae itakuomba keys.
  • baada ya hapo maliza kufanya installation.
  • baada ya kumaliza kufanya installation ingia au openi iyo program.
  • upande wako wa kushoto kwa chini utakuta maandishi imeandikwa (record screen as) hapa weka avi.
  • ukitaka kuanza kurekodi video yako kwa chini upande wa kushoto utakuta kiduara chenye rangi nyekundu piga hapo( video itaanza kurekodiwa matendo yote uyafanyayo kwenye computer yanarekodiwa.
  • ukitaka kusitisha au kumaliza kurekodi bofya control (ctrl) na f10 kwa pamoja.
baada ya yote hayo ingia kwenye computer yako sehemu ya file la video (local disc C). utakuta file limeandikwa debut hapo ndipo izo videos utazikuta.

maswali, maoni nakaribisha.

makala hii ipo chini ya IBRAHIM RAMADHAN MCHUCHURI.


Andaa tutorials wewe mwenyewe. (computer video capture) Andaa tutorials wewe mwenyewe. (computer video capture) Reviewed by Unknown on May 30, 2017 Rating: 5

No comments

Random Posts

3/random/post-list